Akudo Impact wakitambulisha wanamuziki wapya kutoka DRC.
Extra Bongo wakiwajibika jukwaani wakati wa onyesho la bendi hiyo kwenye Ukumbi wa Meeda, Sinza Mori.
Mapacha Watatu hawakubaki nyuma kwani waliangusha shoo ya kufa mtu kwenye Ukumbi wa Mzalendo, Kijitonyama.
Mashujaa Musica waliangusha vitu vikali kwenye Uwanja wao wa Nyumbani wa Business Park, Victoria.
Msondo Music Band wao waliendeleza vibeneke la kiutu uzima ndani ya Viwanja vyao vya Amana Social Club.
Wazee wa Ngwasuma wao walikuwa wakiwapeleka puta mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Arcade, Mikocheni.
Sikinde Ngoma ya Ukae ilirindima vilivyo ndani ya ukumbi wa nyumbani wa DDC Kariakoo.
Ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, African Stars Band sambamba na mashabiki wao walikuwa wakitwanga na kupepeta mpaka usiku mnene.
No comments:
Post a Comment