Kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki na Jenerali Banza Stone 'Makaveli' wakikumbushia "Mtaji wa Masikini" wakati wa shoo ya bendi hiyo kwenye Ukumbi wa Meeda, Sinza Mori, Dar es Salaam usikuwa kuamkia leo Machi 25, 2012. (Video ya ziro99blog)
No comments:
Post a Comment