Saturday, March 24, 2012

TAARIFA KWA WASOMAJI WETU!!!

PERUZI NA UBABE VIDEO KALI ZA WIKIENDI HII...
Muda mfupi ujao tutawaletea video kali za shoo za bendi kubwa nchini zilizofanyika wikiendi hii kwenye kumbi mbalimbali za hapa Dar es Salaam. Kumbuka kwamba zote ni  LIVE ON STAGE!!  Endelea kuperuzi bongomoto na ziro99, blogu za kijanja kwa ajili ya wajanja! -Mhariri

No comments:

Post a Comment