TUNAOMBA RADHI
Tunawaomba radhi wasomaji wetu kwa matatizo yaliyojitokeza kwenye video ya shoo ya Mashujaa Musica iliyofanyika Jumapili iliyopita kwenye Ukumbi wa Business Park, Victoria. Video hiyo ilipata hitilafu wakati wa uploading kwenye mtandao wa YouTube tunaopitishia video zetu zote! Tunaahidi kuwaletea shoonyingine ya Mashujaa pamoja na bendi nyingine kama kawaida wikiendi hii. -Mhariri ziro99blog
No comments:
Post a Comment