Monday, April 2, 2012

BONANZA LA AKUDO IMPACT MSASANI CLUB USIKU WA KUAMKIA LEO...

Kazi ya "Vijana wa Masauti" Akudo Impact kwenye Bonanza lao la kila Jumapili kwenye Ukumbi wa New Msasani Beach Club lilianzia hapa usiku wa kuamkia leo...

No comments:

Post a Comment