Monday, April 2, 2012

AKUDO IMPACT WANAPOPEKECHA KWENYE BONANZA MSASANI USIKU WA KUAMKIA LEO......

Wanamuziki wa bendi ya Akudo Impact wakionyesha jinsi ya kucheza miondoko ya "Pekecha Pekecha" wakati wa Bonanza lao la kila Jumapili kwenye Ukumbi wa New Msasani Club. Siku ya Ijumaa Kuu, Akudo watashusha shoo ya nguvu kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni na Pasaka watakuwa kwenye bonanza leo ndani ya Msasani Beach Club. Usikose!!

No comments:

Post a Comment