MASHABIKI WALISHINDWA KUJIZUIA NA KUJIMWAGA JUKWAANI KUPEKECHA NA AKUDO IMPACT...
Mashabiki waliohudhuria Bonanza la bendi ya Akudo Impact "Vijana wa Masauti" wakijimwaga jukwaani kupekecha-pekecha kwenye ukumbi wa New Msasani Beach Club usiku wa kuamkia leo. (Video zote za ziro99blog).
No comments:
Post a Comment